Profile cover photo
Profile photo
Tanesco yetu
120 followers
120 followers
About
Posts

Post has attachment
"TANESCO Changamkieni fursa" Naibu Waziri Nishati
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Iputi, Kata ya Mbuga, Wilayani Ulanga, akiwa katika ziara ya kazi Mkoani Morogoro, Na Veronica Simba – Ulanga Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu amewataka watendaji wa Shiri...
Add a comment...

Post has attachment
Dkt. Kalemani ameendelea na uzinduzi Miradi ya Umeme Vijijini Mkoani Tabora
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameendelea na ziara ya uzinduzi wa Miradi ya Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Wilaya za Kaliua, Sikonge na Uyui Mkoani Tabora. Dkt. Kalemani amezindua katika Vijiji vya Ghuliyankulu, Mbeta, Uyowa, Mkindo na Mwongoz...
Add a comment...

Post has attachment
Dr. Medard Kalenani azindua Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya III Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma
Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalenani, akiambatana na  Viongozi
wengine wa Serikali Wilayani Kasulu na Mkoa kigoma, amezindua mradi wa umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa Vijiji 149 vya Mkoa wa Kigoma. Kwa Mkoa wa Kigoma uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji ...
Add a comment...

Post has attachment
TANESCO Rukwa, NMB watembelea Gereza la Molo
Wafanyakazi wa Shirika la Usambazaji umeme ( TANESCO) Mkoa
wa Rukwa wakishirikiana na Benki ya NMB wamewatembelea Maafisa wa Magereza wa
Gereza la Molo lililopo Mkoani Rukwa na kutoa elimu inayohusu taratibu za kuunganishiwa huduma ya umeme
kupitia Mradi wa...
Add a comment...

Post has attachment
"Mtambo wa kuzalisha umeme kwa mvuke umekamilika"Dkt. Kalemani
 Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amefanya ziara ya kikazi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II. Dkt. Kalemani alisema lengo la ziara hiyo ni kukabidhiwa mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumie mvuke baada ya kuwa umekalika. Aliongeza mradi wa ...
Add a comment...

Post has attachment
**
Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani ameongoza ujumbe wa Tanzania
Nchini Morocco kwa mwaliko wa Waziri wa Madini na Maendeleo ya
Nishati   wa Morocco katika Mkutano wenye lengo la kukuza ushirikiano
katika sekta za Nishati na sekta ya madini baina...
Umeme Forum
Umeme Forum
umemeforum.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu atembelea mitaa yenye uhitaji wa umeme Kigamboni Jijini Dar Es Salaam
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (katikati), na viongozi wa juu wa TANESCO, wakimsikiliza mtaalamu huyu wakati Mhe. Naibu Waziri alipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Dege kilichoko Kimbiji Wilayani Kiga...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio katika picha ziara ya Bodi ya Wakurugenzi TANESCO wakikagua Vituo vya kupoza na kusambaza umeme vya TEDAP
Add a comment...

Post has attachment
Kamishina Nishati Mhandisi Innocent Luoga atembelea banda la TANESCO katika maonesho ya mazingira
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA TAIFA KWA MIKOA WA LINDI NA MTWARA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa uunganishwaji umeme wa Gridi ya Taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mahumbika Mkoani Lindi leo Mei 21, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nis...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded