Profile

Cover photo
Shafiq Mpanja
Lives in Dar es Salaam
315,557 views
AboutPostsPhotosVideos

Stream

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
 
Tarehe kama ya leo miaka 13 iliyopita Tanzania ilimpoteza muasisi wa Taifa hili, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Siku ya leo nchi nzima inaadhimisha kumbukumbu ya Baba wa Taifa kwa kukumbuka yale yote mazuri aliyoyafanya na kukumbushana kuifuata misingi ya utawala bora ambayo aliisisitiza katika hotuba zake. Tunakutakia Nyerere Day njema.
 ·  Translate
1
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
 
Alichokisema Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe wakati wa shughuli ya kukabidhi mabasi kwa timu za Simba na Yanga
 ·  Translate
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
Before You’re LinkedIn, Determine Your Goals
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
How Do Brands Do Customer Service On Twitter?
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
Ijue, Itambue na Iongeze Thamani ya Blog Yako
 ·  Translate
Blog Yako Ina Thamani Gani? Hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza baadhi ya marafiki zangu ambao ni bloggers hivi karibuni. Mwaka mmoja uliopita mtu angeniuliza hili swali ningebaki namshangaa kwa...
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
Kushindwa kubaya jamani, acheni kutusingizia Simba hatukucheza jana
 
Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, mmoja ya wasemaji wa Yanga amenukuliwa akisema kushindwa kwao kuna mkono wa Simba na kwamba walishakubaliana kutofanyiana fitna na watani wao wa jadi lakini Simba wakatuma watu Bukoba kuwavurugia mchezo wao. Ni kweli haya mambo yapo katika soka letu? na kama yapo yanafanyika vipi? http://ow.ly/i/10onI
 ·  Translate
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
 
Huyu ndie kocha mpya wa timu ya Yanga ambaye ni Mholanzi Ernstus Wilhelmus Johannes Brandts ambaye atatambulishwa muda wowote na Klabu hii ya Jangwani
 ·  Translate
1
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
 
 
Karibu katika ukurasa wa Kilimanjaro Premium Lager Bonge ya Kiburudisho kwa Watanzania
 ·  Translate
1
Raymond Mushi's profile photoShafiq Mpanja's profile photo
4 comments
 
Saint Raymond
Add a comment...

Shafiq Mpanja

Shared publicly  - 
1
Add a comment...
Places
Map of the places this user has livedMap of the places this user has livedMap of the places this user has lived
Currently
Dar es Salaam
Basic Information
Gender
Male