Profile cover photo
Profile photo
Yahya Charahani
38 followers
38 followers
About
Yahya's interests
View all
Yahya's posts

Post has attachment
OFISI YA MANISPAA YA ILALA YAHAMIA KWA MUDA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUWAHUDUMIA WANANCHI KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza na mmoja wa wazee waliofika kupatiwa huduma katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo ofisi nzima ya Manispaa hiyo imehamia viwanjani hapo kwa ajili ya kuhudumia watu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya ...

Post has attachment
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI ,IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Moham...

Post has attachment
ZIARA YA RAIS DK. MAGUFULI MKOA WA PWANI, AZINDUA MIRADI UKIWEMO WA MAJI WA RUVU JUU
Rais Dk. John Magufuli akilijaribu kuliwasha Trekta katika kiwanda cha kutengeneza  matrekta ya URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani, wakati akizindua Kiwanda hicho, akiwa katika ziara ya siku tatu katika mkoa wa Pwani, jana. Rais Dk. John Magufuli akifungua...

Post has attachment
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTARISHA CHATO , AKIWA NJIANI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIGONGO FERI
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki  katika swala ya magaharibi katika  futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu mjini  Chato, mkoani Geita, Juni 21, 2017.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifuturu pamoja na Askofu Mussa Magwese...

Post has attachment
WANAWAKE VIONGOZI KATIKA MASOKO WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUTEMBELEA KATIKA MASOKO AONE MIUNDOMBINU ILIVYO
Ofisa Mradi wa 'Mpe Riziki Si Matusi' kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG), Suzan Sita (kulia), akitoa mada katika Warsha ya Siku tatu  ya kuwajengea uwezo viongozi wa Umoja wa Wanawake Masokoni iliyohusu ukatili dhidi ya wanawake na haki zao iliyoan...

Post has attachment
DC SHINYANGA AWAUMBUA HADHARANI VIONGOZI WA UPINZANI WANAOKWAMISHA MIRADI YA MAENDELEO,AONYA SIASA ZA MAJITAKA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akinywa maji yaliyokuwa yanadaiwa kuwa hayafai kwa matumizi ya binadamu.  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mwamagunguli. Wananchi wa kijiji hicho wakimsikiliza mkuu...

Post has attachment
RAIS DKT MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula jana Jumatano Juni 21, 2017  katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pi...

Post has attachment
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala Ofisi ya Makamu wa Rais, Samuel Mwashamba akimkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ili azungumze na Watumishi wa Ofisi ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Pr...

Post has attachment
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RASMI MRADI WA MAJI WA RUVU JUU MLANDIZI MKOANI PWANI PIA AZINDUA VIWANDA VINGINE MKOANI HUMO
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Balozi wa India hapa Nchini Sandeep Arya, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo pamoja na Viongozi wengine wa Mkoa wa Pwani na Serika...

Post has attachment
UPATIKANAJI WA DAWA KWENYE VITUO VYA AFYA JIJINI TANGA WAFIKIA ASILIMIA 80
  Mganga Mkuu wa Jiji la Tanga(CMO), Jairy Khanga akifungua mafunzo ya  mradi wa tumaini la mama uliyowahusisha wauguzi kutoka halmashauri za Tanga Jiji na Mkinga chini ya usimamizi wa mfuko   wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga uliofanyika kwenye ukumbi ...
Wait while more posts are being loaded