Profile cover photo
Profile photo
Chief Hope
About
Posts

Post has attachment

Post has attachment
SOMO: KUWA SINGO SIO UGONJWA (MAXIMIZE YOUR SINGLENESS) - ASKOFU GWAJIMA.
Somo hili lilifundishwa na Askofu mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima Dkt Josephat Gwajima katika uzinduzi wa mkesha kwa awamu ya kwanza ulioandaliwa na Kingdom Citizens Night (KCN) ya kanisa hilo jijini Dar es salaam.        "MAXIMIZE YOUR SINGLENESS" KUWA...

Post has attachment
NEWS: TAG KILIMANJARO KUWAKOPESHA VIJANA PIKIPIKI (BODABODA).
Picha hii haiusiani na habari hii. Ni Picha tu ya pikipiki @bharathautos. Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG), Jimbo la kilimanjaro limeanzisha mradi wa kuwakopesha vijana pikipiki ili wafanikiwe kibiashara. Askofu wa jimbo hilo, Glorious Shoo alisem...

Post has attachment
SOMO: MAANA HALISI YA NDOA.
Mathayo 19:4-6 "Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja? Hata wamekuwa si wawili tena...

Post has attachment
MUSIC VIDEO: TILL THE DAY I DIE - TOBY MAC FT NF.
Lyric Video "Till The Day I Die" all the way from America ya kwake Toby Mac Ft Nf.

Post has attachment
VIDEO: IFAHAMU STORY YA WIMBO HUU "I HAVE DECIDED TO FOLLOW JESUS".
Hii ndiyo Story ya wimbo huu "I Have Decided To Follow Jesus", ambayo pia iliandikwa kwenye kitabu kiitwacho "Why God Why" kilichoandikwa na Dr. P.P Job.  Story hii niya-ajabu na inaelezea maisha ya mtu ambae alijito 100% kwa Yesu Kristo. May everyone who h...

MUSIC VIDEO: NYUANI MWAKO - LILIAN MARIKI.
DVD hizi zinapatikana, wasiliana nasi 0713 894 466 au 0757 894 466 au 0656 805 350 tutakuletea copy yako. Kwa huduma za video production zenye ubora wa hali ya juu, wasiliana nasi +255 656 805 380 wanakingdom2014@gmail.com.

Post has attachment
MUSIC VIDEO: BARNABA BOY AKIIMBA LIVE WIMBO WA AMBWENE "UPENDO".
Wimbo wa "UPENDO" uliimbwa na Ambwene na hapa Barnaba ameurudia akiwa na Band ya THT.
Wait while more posts are being loaded