Profile cover photo
Profile photo
chaz cane
1 follower
1 follower
About
chaz's posts

Post has attachment
POLEPOLE KUTOA ELIMU YA ITIKADI MOROGORO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC CCM), Ndugu Humphrey Polepole, anatarajiwa kuwasili mjini Morogoro, Jumamosi Machi 25, 2017, kutoa elimu ya siasa na itikadi ya chama hicho kwa zaidi ya wanachama wapya 2,000 ambao ni wanafunzi kutoka vyuo vikuu vilivyopo katika mkoa huo.
Photo

Post has attachment
Ujumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara), Ndugu Rodrick Mpogolo (ulioketi upande wa kulia) ukiwa katika kikao cha pamoja na ujumbe wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Guo Jinling (uliopo upande wa kushoto), Alhamisi Machi 23, 2017, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Photo

Post has attachment
Ujumbe wa Chama cha Kikomunisti cha China ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Guo Jinling (wa pili kutoka kushoto) ulipokutana na ujumbe wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 23, 2017.
Photo

Post has attachment
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Ndugu Rodrick Mpogolo (katikati aliyeshika karatasi) akiwaongoza Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika kikao cha pamoja na ugeni kutoka Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Ndugu Abdallah Juma Abdallah; Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole; Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Ngemela Lubinga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha, Dk. Frank Haule na Katibu wa NEC Organaizesheni, Ndugu Perreira Ame Silima.
Photo

Post has attachment
Ramani ya Vietnam, nchi ndogo iliyowahi kupigana vita na kuishinda Marekani (kushoto) na kulia ni Baba wa Taifa hilo, hayati Ho Chi Minh.
Photo
Photo
24/03/2017
2 Photos - View album

Post has attachment
Wait while more posts are being loaded