Profile cover photo
Profile photo
Saluti5. Com
24 followers
24 followers
About
Saluti5.'s posts

Post has attachment
KIPA WA SIMBA AAHIDI "KUWAKAZIA" MBAO FC KESHO... aapa kutorudia makosa ya kuwaruhusu wauwatangulie kwa mabao
KIPA
namba moja wa Simba, raia wa GhanaDaniel Agyei amesema hawatorudia makosa ya
kuwaruhusu Mbao FC kuwatangulia kwa mabao katika fainali ya Kombe la Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), kesho Jumamosi
uwanja w...

Post has attachment
LWANDAMINA AWACHEKA SIMBA SC KUISHTAKI TFF FIFA... awaambia "mmebugi men"
KOCHA wa Yanga, George
Lwandamina amewacheka Simba katika akili yao ya kulishitaki Shirikisho la Soka
Tanzania (TFF), huko FIFA akisema kwamba wamebugi kwa kuwa wao sio wanaotakiwa
kuwasiliana na FIFA. Akizungumza na saluti5, Lwandamina alisema Simba haiwez...

Post has attachment
MAVUGO ASIKITIKA KUTOTIMIZA MALENGO YAKE MSIMBAZI MSIMU HUU... awatuliza mashabiki akisema mambo yote msimu ujao
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa
Simba raia wa Burundi, laudit Mavugo amesema kwamba malengo yake katika Simba
msimu huu uliomalizika hayakutimia. Mrundi huyo amesema kwamba
alipanga kufanya mambo makubwa ndani ya timu hiyo kwa msimu wake wa kwanza
lakini chang...

Post has attachment
MASHABIKI WA SOKA WAMKOSOA MALINZI KOPOSTI PONGEZI ZA RAIS WA FIFA KWA UBINGWA WA YANGA
RAIS wa Shirikisho la Soka
Tanzania (TFF), Jamal Malinzi juzi aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwmba
rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza Yanga
kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara. Hata hivyo, wape...

Post has attachment
SIMBA YAZUNGUMZIA KUCHELEWA KWA RIPOTI YA FIFA KUHUSU RUFAA YA POINTI TATU ZA KAGERA
WAKATI ambapo wanachama na
mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu uamuzi wa rufaa ya kudai kupewa pointi
tatu za mchezo wa Kagera, uongozi wa wekundu hao umeanika ukweli juu ya suala
hilo. Hivi karibuni Simba ilipeleka
ombi katika Shirikisho la Soka Duniani...

Post has attachment
SERENGETI BOYS YAWAOMBA RADHI WATANZANIA KUTOLEWA AFCON
STAA wa timu ya taifa ya vijana
“Serengeti Boys”, Kelvin Nashoni amewaomba msamaha Watanzania baada ya kutolewa
kwenye michuano ya Afcon nchini Gabon. Serengeti Boys ilitolewa kwenye
michuano hiyo baada ya kufungwa na Niger kwa bao 1-0. “Tunajua namna tuliv...

Post has attachment
HIMID MAO AFUZU KUCHEZA SOKA LA KULIPWA DENMARK
MTANZANIA
Himid Mao Mkami amefuzu kucheza soka la kulipwa nchini Denmark katika klabu ya
Randers FC ambayo inashiriki Ligi Kuu. Himid
Mao alikwenda kufanya majaribio ya siku 10 katika timu hiyo inayonolewa na
kocha Olafur Kristjsnsson. Himid
Mao maarufu kwa...

Post has attachment
KUJIUZURU KWA MANJI YANGA KWAZUA TAFRANI MTAA WA JANGWANI
HATUA ya kujiudhuru kwa mwenyekiti wa Yanga limeibua hisia kali kwa wanachama na wadau wa klabu hiyo
wengi wakisema hawakubaliani na uamuzi huo lakini kumbe kilichomng’oa ni hatua
ya kuingia mkataba na Sportpesa hivi karibuni ambao umeonekana kuwa na mambo
...

Post has attachment
KITALE NAE AFICHUA SIRI YA KUMUDU KWAKE KUIGIZA KAMA “TEJA”
MSANII wa maigizo ambae pia ni
mwimbaji, Mussa Kitale amefichua siri inayomfanya aweze kumudu kuvaa vilivyo
uhusika wa ‘teja’ katika uigizaji wake. Akiongea na saluti5, Kitale alisema
kuwa maisha yake yote toka utotoni 
amekulia uswahilini, Tandale na nyumb...

Post has attachment
WOLPER ASEMA AMETENGANA NA HARMONIZE LAKINI ATAENDELEA KUPIGA MZIGO KAMA KAWA NA WASAFI CLASSIC
MSANII wa filamu hapa nchini,
Jacquline Wolper amesema kuwa hata baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake,
Harmonize bado ataendelea kufanya kazi na kundi la “Wasafi” kama kawaida. Staa huyo amesema alilifahamu
kundi hilo kabla ya kuanza kuhusiana kimapen...
Wait while more posts are being loaded