Profile

Cover photo
uwaka st joseph
2 followers|22,622 views
AboutPostsPhotosVideos

Stream

uwaka st joseph has a new profile photo.

Shared publicly  - 
 
WANAUME IMARA = KANISA IMARA
1
Add a comment...
Story
Introduction
UWAKA St. Joseph ni lile TAWI AU SEHEMU ya chama cha Utume wa WAnaume KAtoliki (UWAKA) ILIYO KATIKA Dekania ya St. Joseph, Jimbo (K) la Dar es Salaam.

Dekania ya St. Joseph inaundwa na parokia 8 kama ifuatazo:
  1. St. Joseph
  2. Chang'ombe
  3. Keko
  4. Magomeni
  5. Mburahati
  6. Msimbazi
  7. Muhimbili na
  8. Upanga
Kikanisa, wanaume wote walio katika parokia hizi ndio wanaunda DEKANIA ya wanaume katoliki inayoitwa UWAKA St. Joseph.

 

Basic Information
Gender
Decline to State