Profile cover photo
Profile photo
Juma Mtanda
40 followers
40 followers
About
Posts

Post has attachment
WAKULIMA WA ZAO LA UFUTA KUPATA NEEMA MKOANI LINDI
  Serikali mkoani Lindi imetangaza bei elekezi ya ya ufuta kwa msimu mpya wa mwaka 2018/19 ambao tayari umeshaanza sanjari na kutambulisha mfumo mpya wa kuuza zao hilo. Bei hizo Sh 1,651 na Sh 1,764 kwa kilo moja huku mfumo utakaotumika katika ununuzi wa za...
Add a comment...

Post has attachment
KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS, UDAKU, BURUDANI NA MICHEZO JUMAMOSI MEI 26/2018 YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI TANZANIA
Add a comment...

Post has attachment
MWENYEKITI KAMATI YA UONGOZI CUF AMTOLEA UVIVU MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU GERSON MSIGWA
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM (NEC). Hata hivyo taarifa hiyo iliyotumwa saa nane usiku wa kuamkia leo Mei 25, na Mkurugenzi wa Mawasiliano...
Add a comment...

Post has attachment
MAELFU YA WATU DUNIA HUPOTEZA MAISHA BAADA YA KUNG'ATWA NA NYOKA
Nchi wanachama wa mkutano wa shirika la afya duniani wamepitisha azimio la kutambua kuumwa na nyoka kuwa ni suala linalohitaji kupewa kipaumbele katika kulishughulikia Maelfu ya watu hufa kila mwaka na wengine kuwa walemavu kutokana sumu inayotokana na sham...
Add a comment...

Post has attachment
Waziri wa Fedha anyooshewa kidole kwa kukwamisha miradi ya maendeleo
Dodoma. Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amesema Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ni miongoni mwa mawaziri waliofeli kwa kukwamisha miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali. Bobali ametoa kauli hiyo leo Mei 24, 2018 katika mjadala wa...
Add a comment...

Post has attachment
KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS IJUMAA MEI 25/2018 YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI TANZANIA
Add a comment...

Post has attachment
KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU, BURUDANI, MICHEZO IJUMAA MEI 25/2018 YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI TANZANIA
Add a comment...

Post has attachment
WAZAZI WAMSHTAKI MTOTO WAO WA KIUME MAHAKAMANI ILI AHAME KWENYE NYUMBA
Licha ya kumuandia barua mara tano kumtaka ahame nyumba yao Christina na Mark Rotondo wanasema mtoto huyo wao amekataa kuhama. Wazazi wa mwanamume mmoja wa umri wa miaka 30 wametumia mbinu zisizo za kawaida kumlazimisha mto wao huyo kuhama nyumba yao. Nyara...
Add a comment...

Post has attachment
MAGONJWA MAPYA 30 KUONGEZEKA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2030
Hadi kufikia mwaka 2030 kutakuwa na magojwa mapya 30 kwa mwaka, kutoka magonjwa mapya matano hadi manane ambayo hujitokeza hivi sasa kila mwaka duniani. Ongezeko hilo la magonjwa mapya ni kutokana na kuongezeka kwa watu duniani hususani kwa nchi zinazoendel...
Add a comment...

Post has attachment
NDANDA FC, MAJIMAJI NANI KUUNGANA NA NJOMBE MJI KUSHUKA LIGI KUU TANZANIA BARA ?.
Ndanda FC imeutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani wa Nangwanda Sijaona baada ya kuichapa Mwadui FC mabao 3-0 na sasa imebakisha pointi moja tu ibaki ligi kuu. Timu hiyo ambayo sasa itashika nafasi ya tatu kutoka mkiani na pointi 26, wakati anayefuata ni Maj...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded