Profile cover photo
Profile photo
Rachel siwa Isaac
270 followers
270 followers
About
Posts

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Ruthu 3...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Haleluyaha Mungu wetu yu mwema sana tumshukuru katika yote Mungu wetu Baba yetu,Muumba wetu Muumba wa Mbingu na Nchi.. Muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.. Mungu wa Abrahamu,Isaka na Yakobo,Mungu wa...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Ruthu 2...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Tumshukuru Mungu wetu katika yote.. Asante Mungu wetu Baba yetu kwa wema na fadhili zako kwetu.. Asante kwa ulinzi wako kwetu wakati wote.. Asante kwa pumzi/uzima,afya na tukiwa tayari kwa majukumu yetu.. Asante ...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Tumemaliza kitabu cha Waamuzi-Tunaanza Kitabu cha Ruthu Mungu yu mwema...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Mungu wetu yu mwema sana,Tunamshukuru Mungu kwakumaliza kitabu cha "Waamuzi"na Leo tunaanza Kitabu cha "Ruthu" Mungu akatupe kibali cha kusoma na kuelewa,akatupe macho ya rohoni,tusomapo tukapate kuelewa na kujif...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 21...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Haleluyah Mungu wetu yu mwema sana.. Ni siku/wiki nyingine tena Mungu wetu ametupa kibali cha kuendelea kuiona Leo hii.. Tumshukuru Mungu wetu katika yote.. Asante Mungu wetu Baba yetu kwa wema na fadhili zako kw...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 20...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Mungu wetu yu mwema sana tumshukuru kwa kila jambo.. Asante Baba wa Mbinguni kwa wema na fadhili zako kwetu.. Asante kwa ulinzi wako kwetu wakati wote.. Asante kwa pumzi/uzima,afya na kuwa tayari kwa majukumu yet...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 19...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Mtakatifu..!Mtakatifu..!Mtakatifu..!Baba wa Mbinguni.. Mungu wetu,Muumba wetu,Mwokozi wetu,Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo,Mungu mwenye nguvu,Baba wa Yatima,Mume wa wajane Muweza wa Yote,Jehovah..!Yahweh..!El ...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 18...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Mungu wetu yu mwema sana tumshukuru katika yote.. Asante Baba wa Mbinguni kwa wema na fadhili zako kwetu.. Asante kwa ulinzi wako kwetu wakati wote.. Asante kwa pumzi/uzima,afya na kuwa tayari kwa majukumu yetu.....
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 18...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Mungu wetu yu mwema sana tumshukuru katika yote.. Asante Baba wa Mbinguni kwa wema na fadhili zako kwetu.. Asante kwa ulinzi wako kwetu wakati wote.. Asante kwa pumzi/uzima,afya na kuwa tayari kwa majukumu yetu.....
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 17...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Tumshukuru Mungu wetu katika yote.. Mtakatifu Baba wa Mbinguni,Mungu wetu,Muumba wetu, Muumba wa nchi na Mbingu,Mungu wa Abarahamu,Isaka na Yakobo Baba wa Upendo,Mungu mwenye nguvu,Baba wa Yatima,Mume wa wajane,B...
Add a comment...

Post has attachment
Kikombe Cha Asubuhi ;Waamuzi 16...
Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje? Haleluyah..!!Mungu wetu yu mwema sana.. Ni siku/wiki nyingine tena Mungu wetu ametuchagua na kutupa kibali cha kuendelea kuiona leo hii... Si kwa nguvu zetu wala si kwa utashi wetu,si kwamba sisiĀ  tumetenda mema ...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded