Profile cover photo
Profile photo
RAHEL PALLANGYO
293 followers -
Sea never drie
Sea never drie

293 followers
About
Communities and Collections
Posts

Post has attachment
SIMBA YAKABIDHIWA MILIONI 100 NA SPORTPESA
MABINGWA wa Tanzania klabu ya Simba imekabidhiwa hundi ya
Sh. Milioni 100 na kampuni ya SportPesa Tanzania baada ya kutwaa ubingwa wa
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. SportPesa Tanzania, ambao pia ni wadhamini wa
mahasimu wa Simba, Yanga na Singida United ...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
SIMBA WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO JANA
MABINGWA
wapya wa Ligi Kuu Bara Simba,jana walikabidhiwa ubingwa wao na Rais wa Jamhuri
ya muungano wa Tanzania John Magufuri katika uwanja wa Taifa Dar es saam. Simba
walitwaa ubingwa huo,licha ya kupoteza mchezo wake wa kwanza kwa bao 1-0 mbele
ya Magufur...
Add a comment...

Post has attachment
YANGA YALAZIMISHWA SARE TAIFA LEO
YANGA YALAZIMISHWA SARE TAIFA LEO
pallangyor.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
YANGA YALAZIMISHWA SARE TAIFA LEO
YANGA
imeshindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani kwa kulazimishwa sare ya bila
kufungana na Rayon Sports ya Rwanda katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi wa
kombe la Shirikisho la soka Afrika(CAF). Katika
mchezo wa awali Yanga ilibamizwa mabao 4-0 ...
YANGA YALAZIMISHWA SARE TAIFA LEO
YANGA YALAZIMISHWA SARE TAIFA LEO
pallangyor.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
MAGUFULI KUKABIDHI SIMBA MWALI JUMAMOSI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa
kuikabidhi   Simba kombe la ubingwa wa
Ligi Kuu Tanznaia Bara Jumapili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya mchezo
dhidi ya Kagera Sugar. Hayo yalisemwa jana na Rais wa Shirikish...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
YANGA NDIO KAMA MLIVYOSIKIA HUKO MORO
UPEPO mbaya
umeendelea kuikumba klabu ya Yanga, baada ya jana kupoteza mchezo mwingine wa
Ligi Kuu Bara kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo
uliopigwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mchezo huo
unakuwa ni wa tatu mfululizo kwa timu hiyo kup...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded