Profile cover photo
Profile photo
sayi manyanda
129 followers
129 followers
About
Posts

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
MAGONJWA YANAYOHUSIANA NA KINYESI NI PAMOJA NA UGONJWA WA KUHARA, KIPINDUPINDU, MINYOO YA SAFURA, HOMA YA MATUMBO (TAIFODI), NA AMIBA.
Add a comment...

Post has attachment
Magonjwa Ambayo Yanahusiana Na Kinyesi
Magonjwa
yanayohusiana na kinyesi ni pamoja na ugonjwa wa kuhara, Kipindupindu, minyoo
ya safura, homa ya matumbo (taifodi), na amiba. KIPINDUPINDU Kipindupindu
ni ugonjwa hatari unaosababishwa na maambukizi ya vimelea viitwavyo kwa lugha
ya kitaalamu vibri...
Add a comment...

Post has attachment
**
Kipimo cha mimba cha nyumbani ni rahisi sana kukitumia wewe
mwenyewe kwa wakati wako ikiwa unajihisi umjamzito au kuhisi mwenzi wako ana
ujauzito. Unachotakiwa kuwa nacho ni moja, Kipimo hichob‘Pregnancy Test’
ambacho kinapatikana katika maduka yote ya mada...
Add a comment...

Post has attachment
Sababu Za Kuwashwa Baada Ya Kuoga
“Wataalamu wa afya ya ngozi pia
wanabainisha kuwa kuoga muda mrefu na mara kwa mara, matumizi ya sabuni zenye
harufu kali na povu jingi ni mambo mengine yanayochangia kutokea kwa mzio
pamoja na ukavu wa ngozi kutokana na uwezo wake wa kuondosha kiasi kikubw...
Add a comment...

Post has attachment
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MGONJWA WA UGONJWA WA KUTOKWA DAMU MKOANI KIGOMA
Utangulizi Ugonjwa wa Ebola umeendelea kuenea
katika nchi za Afrika ya Magharibi ambapo hadi sasa nchi tatu ambazo ni Guinea,
Liberia na Siera Leone, zimeendelea kutoa taarifa za wagonjwa wapya. Aidha,
mpaka tarehe 19 Julai 2015, idadi ya wagonjwa waliothib...
Add a comment...

Post has attachment
Vinywaji Vya Kutia Mwili Nguvu, Vina Athari Za Kiafya
Wengine, hasa madereva, hupenda
kutumia vinywaji hivi ili kuondoa uchovu na kuwafanya wasipate usingizi.
Hufanya hivyo ili wasisinzie na kusababisha wasababishe ajali. Kwa upande mwingine pia, wapo
wanaokunywa vinywaji hivi vya kuongeza nguvu kama starehe a...
Add a comment...

Post has attachment
HII NDIO ORODHA YA VIPODOZI VINAVYOTAMBULIWA NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA)
Tfda inapenda kuwafahamisha
watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wananchi kwa ujumla kuwa, kwa mujibu wa
kifungu cha 88 (a) cha sharia ya chakula, dawa na vipodozi sura 219, inakatazwa
kutengeneza, kuuza au kusambaza vipodozi vyenye viambato (ingredient) vy...
Add a comment...

Post has attachment
Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya
Mayai
ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa
binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali
ikiwa ni pamoja na kuchemshwa, kukaangwa au kuchanganywa na vyakula vingine
kama vipande vya viazi m...
Add a comment...

Post has attachment
Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya
Mayai
ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa
binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali
ikiwa ni pamoja na kuchemshwa, kukaangwa au kuchanganywa na vyakula vingine
kama vipande vya viazi m...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded