Profile cover photo
Profile photo
Udaku Special
593 followers
593 followers
About
Udaku's posts

Post has attachment
Mzee wa Upako Aichambua Muziki ya Darassa, Aulizwa Kuhusu Ali Kiba na Diamond
Mchungaji Lusekelo ambaye amewahi kunukuliwa akitumia maneno ya wimbo huo na nyingine kadhaa za bongo fleva katika mahubiri yake, alikumbana na maswali katika kipindi cha KIKAANGONI cha EATV, ambapo watu walitaka kujua ni kwanini anatumia muziki wa kidunia ...

Post has attachment
Ray C Akumbana na 'Majanga' Mengine...Lebo Yamtupia Virago Vyake
Msanii wa bongo fleva Ray C amefukuzwa kwenye lebo ya wanene Enterteiment baada ya kauli ya yake aliyodai  kwamba hajasaini na lebo yeyote. Akionge kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris amesema kuwa Ray C alikuwa kwenye hatua za mwisho ...

Post has attachment
Nay wa Mitego Afunguka Kuhusu Kanisa Lake Jipya Atakalo Lianzisha
Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu. Amedai kuwa kanisa lake litakuwa si la biashara, bali la kumuadu mwenyezi Mungu aliye hai. “Acha kanisa likamilike, mwenye Mungu asimamie tutajua nini kinaenda kutokea lakini sio kanisa kwaajil...

Post has attachment
Mzee wa Upako: Sinywi Pombe, ila Nakunywa Wine
Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama ‘mzee wa upako’ amefunguka kuhusu tuhuma za yeye kunywa pombe, na kuweka wazi kuwa hanywi pombe bali anakunywa ‘wine’ isiyo na kilevi, huku akisema kuwa amewasamehe waandishi aliwowatabirian kifo. Amefunguka hayo kwen...

Post has attachment
VIDEO: Irene Uwoya Aongea Kwanini Hakupost Chochote Baada ya Wema Sepetu Kukamatwa
Kwenye hii Exclusive Interview Mwigizaji staa wa Tanzania Irene Uwoya amekaa na Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea ishu mbalimbali ikiwemo kwanini hakupost chochote baada ya Mwigizaji mwenzake Wema Sepetu aliposhikiliwa kwa tuhuma za dawa za kulevya. Pamoja...

Post has attachment
Kusaga Aonjesha Ujio wa Station Mpya ya redio 103.3 Dar
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC). Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, station hiyo inaonekana kuwa ya muziki pe...

Post has attachment
Idris Sultan Asema Amekoma Kuweka Wazi Mkwanja Anaoingiza Kwenye Deal Anazosaini
Mchekeshaji Idris Sultan amefunguka kwa kusema kuwa sasa hivi hatoweka wazi tena kiasi cha pesa ambacho atakuwa anaingiza kwenye deal mbalimbali anazosaini. Mshindi huyo wa BBA 2014 ambaye hivi karibuni alisaini deal ya balozi wa amani Tanzania, amedai baad...

Post has attachment
CCM Yamweka Kiporo Yusuf Manji
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke, kimesema hakitamjadili Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu, Yusuph Manji, hadi kesi yake kuhusu madai ya kutumia dawa za kulevya itakapomalizika mahakamani. Msimamo huo umetolewa baada ya kuwapo  taarifa kwamba chama hi...

Post has attachment
Tundu Lissu: Serikali Ina Hofu Na Mimi TLS
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Tundu Lissu, amesema ameanza kuogopwa na viongozi wa serikali  baada ya jina lake kuwa miongoni mwa majina matano bora ya wagombea wa nafasi ya urais katika Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS...
Wait while more posts are being loaded