Profile cover photo
Profile photo
Mediahuru
20 followers -
Mediahuru.com | Muziki, Video, Habari, Picha, Michezo na Burudani
Mediahuru.com | Muziki, Video, Habari, Picha, Michezo na Burudani

20 followers
About
Posts

Post has attachment
Mark Zuckerberg ametoa orodha ndefu ya vitu ambavyo vimepigwa marufuku kuwekwa kwenye Facebook ikiwa ni pamoja na picha za ngono, madawa ya kulevya na bunduki. Sote tunafahamu wakati mgumu ambao Facebook imepitia hivi karibuni, kutokana na madai ya kashfa…
Add a comment...

Post has attachment
Kwa mwaka wa 2018, Huawei imezindua simu mbili za kuvutia zenye uwezo wa juu: Huawei P20 na Huawei P20 Pro. Simu hizi mpya sio tu zimechukua nafasi ya P10 na P10 Plus za mwaka 2017, bali zimekuja na maboresho zaidi. Unaweza kununua simu yoyote kati ya…
Add a comment...

Post has attachment
Google jana imezundua muundo mpya wa Gmail, ambao unakuja na muonekano mpya wa kisasa zaidi. Muonekano huo mpya umeleta vitu mbalimbali vipya kwenye tovuti hiyo ikiwa ni jitihada za Google kuboresha usalama na kuendeleza utawala wa Gmail kwenye soko la…
Add a comment...

Post has attachment
Google imezindua muundo mpya wa tovuti ya Gmail, ambao una muonekano mpya wa kisasa zaidi. Google imesema Gmail mpya ina “muonekano mpya wa wavuti, vipengele vya juu vya usalama, matumizi mapya ya Google artificial intelligence, na ushirikiano zaidi na…
Add a comment...

Post has attachment
Hii ni simu ya bei nafuu kwa matoleo ya simu za E5, inafaa kwa wanunuzi wenye bajeti ndogo. Simu hii haina mambo mengi, na ndio sababu inauzwa bei nafuu. Moto E5 Play haina maboresho makubwa ikilinganishwa na Moto E4 ya mwaka jana. Usitegemee uwezo mkubwa…
Add a comment...

Post has attachment
Hii ni simu bora kwenye mfululizo wa simu za E5 zilizotolewa na Motorola katika tukio la uzinduzi lililofanyika hivi karibuni nchini Brazil. Bila shaka, Moto E5 Plus ina sifa nyingi zaidi za kuvutia na inategemewa kuuzwa kwa bei ya juu zaidi…
Add a comment...

Post has attachment
Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa haiwezekani kulinganisha simu za Huawei na simu za Samsung. Ukweli ni kwamba sasa unaweza kulinganisha ubora wa simu kutoka kwenye kampuni hizi kutokana na jinsi Huawei ilivyofanikiwa kuboresha vifaa vyake ndani ya muda…
Add a comment...

Post has attachment
Barabara ya kwanza iliyowekwa mifumo ya nishati ya jua “solar-panel” imezinduliwa nchini China. Njia kuu ya kilomita mbili inaweza kugeuza mwanga wa jua kuwa umeme na kuuhamishia moja kwa moja kwenye gridi ya umeme. Inaweza pia kutumika kuchaji magari ya…
Add a comment...

Post has attachment
Kwa mujibu wa ripoti ya The Verge, Google inatengeneza programu ya Chat, sehemu mpya ya android itakayo tumika badala ya SMS. Kampuni hiyo imejaribu kuanzisha huduma yake ya ujumbe mfupi kwenye Android mara kadhaa, ikiwa ni pamoja na kuunganisha Hangouts…
Add a comment...

Post has attachment
Nubia imezindua simu mpya inayoitwa Nubia Red Magic, simu hii ni maalum kwa watu wanaopenda kucheza game kwenye simu. Kama vile simujanja ya Xiaomi Black Shark, Red Magic imetengenezwa kuleta ubora zaidi kwa watu wanaopenda kucheza game. Inatumia Qualcomm…
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded