Profile cover photo
Profile photo
Kimani wa Mbogo
www.mwanagenzi.com
www.mwanagenzi.com
About
Posts

Post has attachment
Wawapi mahayawani, wale tulowaamini, Ola wanavyotuhini, sisi tulomasikini, Tuliwatia moyoni,tukidhani ikhiwani, Nimekiri ya wahenga, kikulacho ki nguoni. ~Utunzi wa Moses Chesire #Mwanagenzi

Wawapi mahayawani, wale tulowaamini,
Ola wanavyotuhini, sisi tulomasikini,
Tuliwatia moyoni,tukidhani ikhiwani,
Nimekiri ya wahenga, kikulacho ki nguoni.
Kikulacho Ki Nguoni
Kikulacho Ki Nguoni
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Dhamira naazimia, habari nawapeni, Unyakuzi mewadia, sauti toka mbinguni, Malaika wasifia, naima tele sikizeni, Mwisho wako tegemea, Ishi ya Leo na sasa. ~Utunzi wa Koffi Brian #Mwanagenzi

Dhamira naazimia, habari nawapeni,
Unyakuzi mewadia, sauti toka mbinguni,
Malaika wasifia, naima tele sikizeni,
Mwisho wako tegemea, Ishi ya Leo na sasa.
Add a comment...

Post has attachment
Naomba niseme wazi, kwetu na liwe bayana, Mja nataka maizi, unielewe kwa kina, Ili tusiwe wajuzi, na Mola tukakosana, Kupata sio idili, ni kudura za Rabana. ~Utunzi wa Kinyafu Marcos #Mwanagenzi

Naomba niseme wazi, kwetu na liwe bayana,
Mja nataka maizi, unielewe kwa kina,
Ili tusiwe wajuzi, na Mola tukakosana,
Kupata sio idili, ni kudura za Rabana.
Kupata Sio Idili
Kupata Sio Idili
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Kwa jasiri najitosa, simulie yamoyoni, Sitajuta kwa kosa, ya kimya kusema, Wewe wangu kipusa, rohoni mesimama, Hepi besdei mpenzi, siku hii Siku yako. ~Utunzi wa Koffi Brian #Mwanagenzi

Kwa jasiri najitosa, simulie yamoyoni,
Sitajuta kwa kosa, ya kimya kusema,
Wewe wangu kipusa, rohoni mesimama,
Hepi besdei mpenzi, siku hii Siku yako.
Siku Hii Siku Yako
Siku Hii Siku Yako
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Kuna vingi duniani, vyenye tunu na thamani, Vyavutia si utani, rahisi kuvitamani, Ila kwangu vyote duni, pasi amani moyoni, Taacha vyote lakini, nikachague amani. Kuna vingi duniani, vyenye tunu na thamani, Vyavutia si utani, rahisi kuvitamani, Ila kwangu vyote duni, pasi amani moyoni, Taacha vyote lakini, nikachague amani. ~Utunzi wa Bonface Wafula #Mwanagenzi

Kuna vingi duniani, vyenye tunu na thamani,
Vyavutia si utani, rahisi kuvitamani,
Ila kwangu vyote duni, pasi amani moyoni,
Taacha vyote lakini, nikachague amani.
Nachagua Amani
Nachagua Amani
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Salamu pokea kaka,Ewe ulo mtaani, Kuning'oa ulitaka, nimehamia mjini, Kwangu 'meleta baraka, najua hutaamini, Ukufunzi vua bwana,sio njuga yako katu. ~Utunzi wa Mwanagenzi #Mwanagenzi

Salamu pokea kaka,Ewe ulo mtaani,
Kuning'oa ulitaka, nimehamia mjini,
Kwangu 'meleta baraka, najua hutaamini,
Ukufunzi vua bwana, sio njuga yako katu.
Ukufunzi Sio Njuga Yako
Ukufunzi Sio Njuga Yako
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Leo mwenyewe natubu, imeshanishinda fani, Aula nitoe gubu, li'lo mwangu fuadini, Msambe nawajaribu, nalonga pasi utani, Miye nyumba ya udongo, vishindo vyazidi kani. ~Utunzi wa Kinyafu Marcos #Mwanagenzi

Leo mwenyewe natubu, imeshanishinda fani,
Aula nitoe gubu, li'lo mwangu fuadini,
Msambe nawajaribu, nalonga pasi utani,
Miye nyumba ya udongo, vishindo vyazidi kani.
Nyumba ya Udongo
Nyumba ya Udongo
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Jumapili narauka, yangu rosari shingoni Zangu njia ninashika, kwelekea kanisani Malangoni nikifka, nandaa yalo moyoni Sala popote nilipo, wa kwangu tamaduni ~Utunzi wa Koffi Brian #Mwanagenzi

Jumapili narauka, yangu rosari shingoni
Zangu njia ninashika, kwelekea kanisani
Malangoni nikifka, nandaa yalo moyoni
Sala popote nilipo, wa kwangu tamaduni
Swala Kwangu Utamaduni
Swala Kwangu Utamaduni
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Nanga natia wino, habari nakupeni Safari urefu wa kino, ilojaa mapeni Tope kwenye kisigino, halidhuru magotini Wasaliti wa dunia, binadamu usiwaamini ~Utunzi wa Koffi Brian #Mwanagenzi

Nanga natia wino, habari nakupeni
Safari urefu wa kino, ilojaa mapeni
Tope kwenye kisigino, halidhuru magotini
Wasaliti wa dunia, binadamu usiwaamini
Wasaliti wa Dunia
Wasaliti wa Dunia
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Kifoo nakulizaa, mbona huna hurumaa, Watu wengi mechukua,lini utatoshekaa, Kiwewe umenitia, mwaka gani taridhikaa, Kifoo takushitaki,unieleze ukweli. ~Utunzi wa Vincent Okwetso #Mwanagenzi

Shairi lenye Mada "Kifoo takushitaki", limejieleza kwa kupitia mbinu ya Jazanda. Msomaji anahitaji umakini na utulivu anapolisoma ili aweze kung'amua maana ambayo mtunzi alikusudia. Maudhui ya shairi hili yanaonyesha ukweli huu.
Kifo Takushitaki
Kifo Takushitaki
ushairi.mwanagenzi.com
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded