Profile cover photo
Profile photo
Kijijini
40 followers -
Habari Magazetini - Tanzania Newspapers
Habari Magazetini - Tanzania Newspapers

40 followers
About
Posts

Post has attachment
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, alizungumza na NIPASHE katikati ya wiki iliyopita na kusema kuwa muundo wa muungano wa serikali mbili uliomo katika katiba mpya iliyopendekezwa hauimarishi muungano bali…
Add a comment...

Post has attachment
Walimu wa wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamesema msimamo wao wa kumshitaki Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza upo pale pale iwapo watagundua wamekatwa mshahara wao wa Oktoba mwaka huu kuchangia ujenzi maabara za shule. Wilaya hiyo ina walimu zaidi 27,000 na…
Add a comment...

Post has attachment
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani hapa, kimemlalamikia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi kwa kukipiga marufuku kufanya mikutano ya hadhara wakati wa vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano vikiendelea. Akizungumza na NIPASHE mjini…
Add a comment...

Post has attachment
Polisi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Njiapanda waliokuwa wameifunga barabara kuu ya Moshi-Dar es Salaam na kusababisha magari zaidi ya 300 yakiwamo mabasi yaendayo mikoani kukwama kwa…
Add a comment...

Post has attachment
Marejeo kuhusu uhalali wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare (pichani) na Joseph Ludovick, jana yalishindwa…
Add a comment...

Post has attachment
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Bilal, amesema marehemu Dk. William Shija, alikuwa mpenzi na muumini mkubwa wa Muungano wa Tanzania tangu alipomfahamu mwaka 1990. Dk. Bilal alisema alimfahamu marehemu Shija akiwa waziri katika wizara ya Sayansi na Teknolojia…
Add a comment...

Post has attachment
Kanisa la Anglikana Tanzania limeitaka serikali kuacha haraka ya kuitisha kura ya maoni kuamua ama kuikubali katiba inayopendekezwa au la, badala yake itumie muda wa kutosha kutoa elimu ili wananchi wawe na uelewa kabla ya kufanya maamuzi wakati wa kupiga…
Add a comment...

Post has attachment
Bwana harusi, Ramadhani Hamisi (30), aliyenusurika kifo baada ya mtumbwi kuzama katika Ziwa Tanganyika na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine 11 kujeruhiwa, ameibuka na kusimulia jinsi alivyochungulia kaburi. Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano…
Add a comment...

Post has attachment
Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, amesema mwaka jana alivyokuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha aliingia katika mgogoro mkali na Mkuu wa Mkoa baada ya kugoma kutoa milioni 100. Mkurugenzi aliyasema hayo jana wakati akijitetea mbele ya Baraza la…
Add a comment...

Post has attachment
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema hawezi kutangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao bila kutumwa na watu. Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi…
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded