Profile cover photo
Profile photo
John Kitime
1,086 followers -
JOHN KITIME
JOHN KITIME

1,086 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 3
LEO  nirudi nyuma tena mwaka 1961, mwaka ambao
nchi yetu ilipata Uhuru, na ndio mwaka nilianza darasa la kwanza pale Government
Primary School (Shule ya Msingi Mlandege). Mkesha wa siku ya Uhuru kulikuwa na matayarisho
ya sherehe Uhuru pale ulipo uwanja wa ...
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 3
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 3
theiringa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 2
Mwaka 1963 na 1964 ndio wakati nilipokuwa nasoma Consolata
Primary School, eneo lote ambalo siku hizi linaitwa Frelimo lilikuwa ni pori
tu, palikuwa na njia ya mkato iliyokuwa ikipita katika pori hilo kuelekea
Makorongoni. Jina la Makorongoni lilitokana na ...
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 2
LEO NIMEKUMBUKA UTOTONI 2
theiringa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
PICHA YA WIKI BAT JAZZ BAND
WANAOWAKUMBUKA MAJINA TAFADHALI.......................ROY YULEEEE NA MAIK
PICHA YA WIKI BAT JAZZ BAND
PICHA YA WIKI BAT JAZZ BAND
tanzaniarhumba.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
DKT TIZEBA AAGIZA KUKAMATWA KIONGOZI WA AMKOS ALIYEFUJA MILIONI 23
Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akisisitiza jambo wakati akizungumza na wakulima wa pamba katika kijiji cha Msai wilaya ya Iramba  akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Singida kutembelea vituo na kujionea ununuzi wa pamba, Picha Zote N...
Add a comment...

Post has attachment
AMAGASETI JUMAPILI 10 JUNI 2018
AMAGASETI JUMAPILI 10 JUNI 2018
AMAGASETI JUMAPILI 10 JUNI 2018
theiringa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
MWALIMU KASSIM TAALIB HATUNAE TENA
MWENYEKITI  wa Shirikisho la Wasanii na Wanamichezo - SHIWATA, Kassim Taalib amefariki jana kutokana na ugonjwa wa moyo uliokuwa unamsumbua kwa muda mrefu. Taalib ambaye alikuwa msanii wa muda mrefu alikuwa pia anaendesha kundi la sanaa la Splendid, pia ali...
Add a comment...

Post has attachment
MWENYEKITI CCM IRINGA KUNYANG’ANYA KADI WANACHAMA WANAOVUNJA KANUNI,SHERIA NA KATIBA YA CHAMA
  Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila ametoa onyo kali kwa
wana CCM wanaokiuka kanuni na katiba ya CCM kwa kuanza kampeni
za chini kuwania Ubunge na Udiwani katika majimbo matatu ya wilaya ya Mufindi
akisema wanakwenda ki...
Add a comment...

Post has attachment
NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU ZA KISASA JIJINI DAR ES SALAAM
  NAIBU
Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, akiwa ameshika moja ya mita ya kisasa ya LUKU, (Smart Meter), iliyotengenezwa na kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam, wakati alipokitembelea kujionea mita hizo leo ...
Add a comment...

Post has attachment
ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA
Zantel inapenda kuwataarifu wateja wake, wadau na jamii kwa ujumla kuwa imesimamisha mauzo ya laini zake za simu kwa mawakala wake wakuu kuanzia sasa.

Maamuzi haya magumu yamechukuliwa kutokana na tuhuma za kuwepo kwa matumizi yasiyo sahihi kuanzia kwa Zan...
Add a comment...

Post has attachment
AIRTEL Tanzania has pledge to maintain quality service
AIRTEL Tanzania The Smartphone Network has pledged to maintain quality service provision by offering affordable total communication packages to clients. The goal is to enhance telecommunication service and solve challenges facing the sector. Speaking in Dar...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded