Profile cover photo
Profile photo
Gadiola Emanuel
282 followers -
Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar.
Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar.

282 followers
About
Gadiola's posts

Post has attachment
Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha
Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akifungua mkutano mkuu wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF uliofanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na wadau wa mfuko(Picha na Pamela Mollel) Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kw...

Post has attachment
Uchumi : Katibu Mkuu RT , Mhe. Wilhelm Gidabuday Amshauri Mengi Rais Dk. John Magufuli
Kutoka Kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Mhe. Wilhelm Gidabuday akiwa na Mwanariadha wa Kimataifa Bw. Filbert Bayi. Picha na Maktaba. "Uwizi wa kutisha? No no no...! Uwizi huu upo tangu siku nyingi na kuna uwizi mwingine mwingi tu...

Post has attachment
Matukio /NEC : Msajili Wa Vyama Vya Siasa Apongezwa Kwa Kusimamia Sheria Na Kanuni.
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa na watendaji wao wakati wa mkutano wa siku moja uliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam kujadili na kuweka mikakati ya kuondoa mapungufu yanayojitokeza katika kutekelez...

Post has attachment
Habari : Soma Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo, 25:05:2017


Post has attachment
Matukio : Mpango wa Kunusuru kaya Maskini waleta Mabadiliko chanya kwa walengwa kisiwani Zanzibar
ESTOM SANGA-TASAF Wadau wa maendeleo wanaochangia fedha za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF nchini wameonyesha kuridhishwa na kasi ya kupambana na umaskini kupitia mpango huo...

Post has attachment
Kilimo Kwanza : TADB Yatoa 'Sapoti' kampeni ya Kitaifa ya Unywaji wa Maziwa
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (kushoto) akiwakaribisha maafisa kutoka Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) walipomtembelea Ofisini kwake kujadiliana juu ya Kampeni ya Kitaifa ya Unywaji Maziwa inayot...

Post has attachment
Matukio : ESRF Yaendesha Mafunzo kwa Wasimamizi wa Redio Jamii
Vyombo vya habari nchini hususani redio za kijamii zimetakiwa kuandika habari ambazo zinaelezea changamoto ambazo zinawakabili wananchi katika maisha yao ya kila siku na jinsi ambavyo wanaweza kuzitatua. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, ...

Post has attachment
Polisi : Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SARPCCO Wafunguliwa Jijini Arusha
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu wakati anawasili katika ukumbi wa mikutano wa AICC kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa P...

Post has attachment
Matukio : Prof. Sospeter Muhongo Ajiuzulu Nafasi ya Uwaziri wa Nishati na Madini
 Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo Ajiuzulu nafasi hiyo Mara baada ya Rais Magufuli kumtaka Afanye hivyo , hilo limetokea baada ya kupokea taarifa ya kamati ya Kuchunguza Mchanga wa Madini ( Makinikia ) uliokuwa unasafirishwa nje ...

Post has attachment
Matukio : Waziri Mahiga Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC nchini Lesotho
Dr. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrioka Mashariki na Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC akizungumza na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Lesotho, Mhe. Jaji Mstaafu Lesao Lehohla (wa pili kutoka kulia) alipot...
Wait while more posts are being loaded